22.11.13

Tuesday, August 03, 2010

KUNDI LA KWANZA LITAKALO SABABISHA KWENYE FIESTA YA DAR NI BRACKET KUTOKA NIGERIA

Muda mfupi kutoka Clouds FM kwenye kipindi cha XXL kinachoendeshwa na B12 walikuwa wanataja wale wasanii international watakaosababisha kwenye Fiesta 2010 kwa Dar es salaam ambayo itafanyika pale Leaders club tarehe 7 mwezi huu.
Kundi la kwanza ni Bracket kutoka Nigeria, bado makundi mawili tujue ni wakina nani hao,
stay tune

1 comment:

Ima (The Designer) said...

Safi sn hao jamaaa nilikuwa na hamunao, Good job kk endelea kutujuza yajayo.