22.11.13

Tuesday, August 03, 2010

MWANANGU NITAMLEA KATIKA MISINGI YA RHYMING SKILLZ AND SWAGGA

Msanii wa bongo fleva anayekwenda kwa jina la Nikki Mbishi ameongea na Bongo Star Link na kusema niwaambi hivi:
"Tell the world about my son Malcom that he was born the same day as 2Pac and it was siku ya mtoto wa Africa na kama haitoshi baba'ake ana mpango wa kumlea katika misingi ya Rhyming Skillz and Swagger to raise him as the future realest ill est MC!!

Nilipomuuliza anitajie tarehe na kwa sasa yuko lebo na studio gani alinijibu hivi:
"dah!ilikuwa 16th June 2010 date aliyozaliwa Malcom na sasa niko M-LAB studios na Producer Duke Tachez na wadau wengine!

Hakutaka kusema mengi zaidi yakuwaahidi mashabiki wake wakae mkao mzuri wa kupata mawe yake mengine.

No comments: