22.11.13

Monday, August 02, 2010

SUGU ASHINDA KURA ZA MAONI UBUNGE CHADEMA MBEYA MJINI.

Taarifa zinaeleza kuwa msanii mkongwe wa muziki wa Bongoflava, Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu, ameshinda kura za maoni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwania nafasi ya kugombea ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini.

Kila la heri Mr Sugu. Jitihada zako zinapaswa kuwa fundisho kubwa kwa idadi kubwa ya wasanii (hususan wa Bongoflava) ambao kwa wao photo-ops (kuuza sura) na watawala wetu is everything despite having been USED AND ABUSED by same watawala kila unapojiri uchaguzi.

Habari hii ni kwa hisani ya
www.chahali.blogspot.com

2 comments:

Anonymous said...

mungu yupo pamoja na wewe mdogo wangu hata kama hutapata ubunge lakini tupo pamoja

Anonymous said...

sugu moto chini lazima wataisoma mwaka huu lazima kieleweke sio wale wano valiswa jezi za ccm huku wana madukuduku yao kwa uoga wanashindwa kuji tetea