22.11.13

Monday, August 02, 2010

WEBSITE YA AY IKO KWENYE MATENGENEZO YA MWISHO.

New website ambayo ilikuwa ikisubiriwa na wengi sasa iko kwenye hatua za mwisho mwisho kumaliziwa. Nimezungumza na AY ameniambia hataki kuongea mengi ila anaahidi kutotuangusha kwa website kali ambayo anakuja nayo na atajitaidi kila siku iwe update kwa vitu vya nguvu. Nilipomuuliza ni wakinanani wanaitengeneza website hii aliniambia ni mapema sana kusema ila ikakamilika atatuambia imetembenezwa na watu gani.
Unaweza kuicheki sasa ukiingia hapo kushoto kwenye Website Mbalimbali na utaiona ilivyo kwa sasa ikiwa bado haijamaliziwa.
www.ay.co.tz

No comments: