22.11.13

Tuesday, September 21, 2010

Ashden Projects Swahili Version Part 1- Urban Pulse

Urban Pulse inawaletea documentary kwenye version ya kiswahili, Documentary hii mpya ambayo tayari imerushwa hewani kwenye vituo tofauti vya Televiseni za nchi mbalimbali za bara la Ulaya na Afrika na imetafsiriwa katika lugha saba mbalimbali


Documentary hii ambayo Ashden wali wa kamishen URBAN PULSE kuizalisha, ina sheherekea miaka kumi ya Tuzo za Ashden na inaonyesha namna gani jamii tofauti duniani zina nufaidika na misaada kutoka shirika la hili la Ashden Awards For Sustainable Energy.


Shirika hili ambalo lina saidia kukuza utumiaji wa nishati endelevu, lina saidia uboreshaji na utunzaji wa mazingira duniani . Shirika hili liliundwa na duka maarufu la familia ya kitajiri ya Sainsbury. Mlezi wa shirika hili ni Mwana Mfalme wa Wales Charles Philip Arthur George



No comments: