22.11.13

Wednesday, September 08, 2010

GARI LA MKALI WA RHYME AFANDE SELLE LIMEUZWA AU?

Nimepokea mail kutoka kwa mkazi wa Morogoro akiomba kujua gari la Afande Sele aliopewa kwenye mashindano ya mkali wa Rhyme limeuzwa ama anaendelea kulimiliki bado.

Anasema yeye ni mshabiki mkubwa wa Afande Selle ila anachoshangaa amuoni tena na gari hilo kama zamani na hatimaye analiona analo mtu mwingine tena linaonekana maeneo ya katikati ya Morogoro na Dodoma likiwa linaendeshwa.
"Nachotaka kukuambia ni kwamba gari hilo ulipewa na hiyo ni moja ya kumbukumbu zako katika maisha haya ya mziki so nitashangaa kama utakuwa umeliuza kaka Afande Selle, ni hayo tu choka asante"

1 comment:

Anonymous said...

My cousin recommended this blog and she was totally right keep up the fantastic work!