22.11.13

Sunday, September 05, 2010

JIACHIE NA CAMERA YA DJ CHOKA @Mbalamwezi Beach.

Jana majira ya jioni baada ya kumaliza Interview ya Clouds TV tukabaki Mbalamwezi tukisuuza koo na baada ya dakika 15 walikuja wanafunzi kutoka LOYOLA HIGH SCHOOL na mmoja wa vijana hao alikuwa anasherehekea siku yake yakuzaliwa. Kwenye picha hapo juu upande wa kushoto anajulikana kwa jina la Bungula aka El Capitano ndiye aliyekuwa amezaliwa siku hiyo ya jana.

Baada ya picha Cpwaa alidondoka na sign kwenye kadi ambayo alipewa na vijana hao.

No comments: