Jioni hii ilikuwa maeneo ya Sinza Meeda kwenye kituo cha kulelea watoto yatima kikijulikana kwa jina la CHAKUWAMA. Nilifika pale kwaajili ya kukaa nao na kula nao futari iliyoandaliwa na vijana wenzangu. Nilifurahi sana kuwa eneo hili na kukaa na hawa watoto.
No comments:
Post a Comment