Ule mzigo uliokuwa unasubiriwa kwa hamu kubwa na wadau wa filam ujulikanao kwa jina la PRETTY GIRL unahesabu siku tuu na uanze kusambazwa nchini.Mzigo huo uliomtoa nyumbani kwake nchini Cyprus Irene Uwoya na kuja nchini kushiriki mzigo huo siku si nyingi utatua masokoni.Wadau kazi kwenu subirini muone kazi iyoo.
1 comment:
Hiyo filam inaubora kweli maana siku hizi wasanii wengi wanaganga njaaa kila siku filam zinatoka halafu kibaya zaidi maudhui ni yale yale
Post a Comment