Eric Shiyo:
coz ile ni sanaa, kuhusu mavazi inategemea mwanamuziki anafanya mziki gani so haiwezekani mfanya gospel akavaa sawa na wa bongo flava, ma self siwezi kujaji kuhusu mavazi kwani ni sehemu ya utanashati kwa mashabiki wake ila comment itakuwepo pale mavazi ya stejini kuyaleta mataani that's not good brother msanii atakuwa amevuka mipaka, ila u smart ni muhimu kwa kioo cha jamii chochote kile..u gotta me?
Chrispine Charles Eric:
sikubalian nawewe kabsa fanya ivi piga kimya mi nifunguke. Eyo choka iko ivi unajua wasani wengi wa hiphop hapa bofongo wanachukulia icho kigezo kuvaa ovyo tanx kwa bongo flavour wanajitahid kina belle9, diamond e.t.c ila wa2 waige mfano mtoni mbona kuna wana hiphop wakubwa stejin wana2pia mbaya kama T.i, jay z, lil wayne, diddy, fat joe na wengine kibao. tusikopi tu flow style zao afu vya muhim tunatupakule. Big up kwa AY coz jamaa kibongo bongo na run mbaaya. OVER NO QUESTION,NO COMMENT
Jackson Mwasha
@Chris siyo makosa yako,nikutokana nakuzaliwa miaka
Hans Amos wanatakiwa kupendeza mzeiya...!cha muhimu wajiweke kitofauti kwenye mavazi ya mtaa na wanapokuwa stage!kuna mavazi yanakubalika kwa kuperform kila aina ya nyimbo!
King Fluber Joulz:
wapendeze ki style yao ya music wanayo fanya kama mwamba hiphop avae ki hiphop na kama bongo flaver avae ki style yake mfano Joh Makini yuko saafi na Fid Q
Alinanuswe Mwaitebele:
yap! ujue wasaniiwengi wetu wanapenda kuadppt from abroad sio mbaya but me naona tungekuwa tunaitangaza asili zetu au Tamaduni zetu.Mfano wenzetu Nigeria wanatangaza sana.Sio wite wanaotangaza ni wachache tu ningependa wote wafanye hivyo it...akuwa mzuka sana tuachane na Tamaduni za nje.
Eric Shiyo
ok..thatha nakuja hivi wote mmeongea jambo la maana ila iko hivi kama unafanya ngoma za za wanne star, kalunde ,mrisho na wengineo wengi ni halali yao kuvaa mavazi ya asili kama mnavyotaka ilatukumbuke huu mziki wa hiphop, r&b,country n.k s...io asili yetu tumekopi toka mbere so that hata uvaaji utakuwa kama mbele tu kwani hata style zao za kuimba wapo wasanii kibao wana copy. da main point is wasivuke mipaka ktk uvaaji it means kwamba da way avaavyo stajini iwe no tofauti na street. thats ma last comment if u dont understud baddie is up to
Glory Chuwa
kiukweli wanatakiwa ku appear tofauti,kupendeza sana kunatakiwa,sababu ther r thousands of pipo lookin at them when on stage n likewise for cover up,a single artist on stage represent many,if he/she dressed up on stage lyk wat we do on streets,the picture taken wil be thy dnt knw hw to dress,wakat there r sam who really rocks on stage.they should try to appear as stars
Eric Shiyo
@glory safi thana na ndo mana huwa nakupendaga sana, coz m2 ukiwa maarufu yawezekana hata uko na shughuli zako street lakini ghafla akatokea mtangazaji akakuhoji da way ungekuwa hauko smart how comes baddiez? mm bana sihitaji malumbano kwa... hiloacha wasanii wavae vizuri kwani ni vioo vyetu ila nakumbusha tena wasivuke mipaka,kutupia jambo la kawaida sana hata kujipodoa sana tu da probl is usizidishe mana wenginge watuita chakula ,sonso,n.kmm napenda sana msanii awe smart bana, msanii akimbea kwa miguu oooh mara kafulia,kaloweka,akipita na gari oooh anajisikia hata salamu hatoi, ulikuwa wapi wakati anazisaka bana acheni kuwadis wasanii bana..thats all.....comment
Hii mada niliiandika kwenye Facebook na hao ni baadhi ya wadau walitoa maoni yao. Kesho tutajua tutaweka mada gani tena. kama wewe unalolote unaweza kutoa maoni yako pia.

No comments:
Post a Comment