22.11.13

Tuesday, September 14, 2010

MASHABIKI WANGU NITAWAHITAJI KWENYE VIDEO YA KARIBU TENA

Mtu mzima Joh Makini anatarajia kushoot video nyingine inayokwenda kwa jina la Karibuni Tena chini ya mtu mzima Adamu Juma kutoka Visual Lab. Nilipozungumza na Joh akaniambia video hii ya karibu tena nitahitaji watu wengi ambao watakuwa kama club halafu Joh atatakiwa kuwaimbia huku wakitoa shangwe za kutosha,

kiingilio kwa siku hiyo ni uje ukiwa umependeza sana na getini nitakuwepo mwenyewe DJ Choka kwaajili yakukagua mavazi.

JUMAPILI HII VIDEO NDIO ITASHUTIWA...LOCATION BADO KIDOGO

No comments: