22.11.13

Wednesday, September 08, 2010

Mjue Fyah sis kutoka Urban Pulse‏



Salam kaka,
Urban Pulse inapenda kuwatambulisha ramsi wapenzi wa mziki Hip Hop first lady wa Urban Pulse aneitwa Mish Fyah sis katika kibao chake kipya kinachoitwa Don't give a Damn. Album yake iko jikoni na video yake inakuja mda si mrefu. karibuni msikilize promo video ya single yake

1 comment:

Anonymous said...

this is tight!keep it up gal!!
chofaco