22.11.13

Wednesday, September 08, 2010

MR. BLUE BAADAE ANAELEKEA BURUNDI.

Usiku huu nimepokea msg ya Mr. Blue ya kunitaarifu kuwa baadae majira ya saa tatu asubuhi atakuwa anaelekea Airport tayari kwa safari yake ya kuelekea Burundi.
Blue ameniambia anawahi kwenda mapema kwaajili ya kufanya Interview mbalimbali pamoja na kutembelea studio moja mbili ili aweze kubadilisha fleva.
Blue anashow siku ya Eid Mosi na anatarajia kurudi bongo baada tu ya show hiyo.
SAFARI NJEMA KAMANDA WANGU.

No comments: