22.11.13

Monday, September 20, 2010

Nice pix...

Yule msanii wa bongo fleva anayejulikana kwa jina la Rah P siku nyingiii sana sijamuona lakini leo nimepata nafasi ya kuiona picha yake huku akiwa na mwanae.
Bado najaribu kumsaka ili kujua mambo mawili mwatatu nikimpata nitawapa info zake.

Picha kwa hisani ya dada Nuru.

1 comment:

Anonymous said...

mbona umezaa mapema rah p wakati wabongo bado tunakuitaji sanaa vp najua ndio kushnei