22.11.13

Thursday, September 30, 2010

NIKO SAFARINI.

 
 Niko zangu Arusha mida hii nimeingia jana...safari yangu itaendelea mpaka Nairobi kwenye Exams halafu nitageuza home. 
Hapa nipo na mwanangu wa ukweli kutoka Arusha anaitwa Tippin, baadae nadhani nitatembelea studio kupata moja mbili.

 

2 comments:

Anonymous said...

sio sifa wewe kujichora chora kuna siku utakuwa huzitaki hizo,wenzako kina 50 wanazifuta zaoo hazina mpango.

Anonymous said...

Ndiyo, labda kwa hivyo ni