22.11.13

Sunday, September 12, 2010

UNANIDATISHA - ASHRAFF MAUNDI

Hey Dj Choka,
Mambo vipi mzee. Naona libeneke la BONGO STAR LINK si mchezo. Anyways, mi ni msanii Producer na video director mpya wa Bongo flava. Jina ni Ashraff Maundi na nipo chini ya Waya mkali Entertainment ambayo inamiliki Maundi Bros Audio na video production. Hii ndo ngoma yangu ya kwanza inaitwa "Unanidatisha". Video na audio production zote zimefanywa chini na Ashraff Maundi.
Nitashukuru sana kama nikipata fursa ya kuwa kwenye blog yako.
Asante
Ashraff Maundi


3 comments:

Anonymous said...

hahhahah......... it sucks dawg..fanya michongo mingine tu

Anonymous said...

hakuna kitu hapo wakazane......sijaipenda

popobawa said...

choka huyu jamaa anazingua kaya tu humu.beat style na kilakitu ni full kuiga,sasa ni producerhuyu kweli labda afanye vijijini,,bongo hawezi huyu,,,video ya kishamba pia,,honestl popobawa