22.11.13

Thursday, September 09, 2010

WIMBO MPYA KUTOKA KWA BENJAMINI

Wimbo uliotufikia leo ni kutoka kwa Benjamin wa Mambo jambo unaoitwa My Friend, wimbo huu unaelezea visa alivyoletewa Benjamin kutoka kwa rafiki yake huyo aliyetokea kijijini.
Usikilize wimbo huu halafu unipe maoni yako

No comments: