22.11.13

Saturday, September 11, 2010

WIMBO MPYA KUTOKA KWA BABA LEVO "VUVUZELA"

Baba Levo ameachia ngoma yake mpya inayokenda kwa jina la VUVUZELA ambayo amerecord pale JALLA MAN. Wimbo huu kwenye chorus kasimama mtu mzima Belle 9 na back vokal kapiga Linex.
Usikilize wimbo huu halafu unipe maoni yako

3 comments:

Unknown said...

miungoni mwa ngoma nilizopokea toka kwa wasanii mbalimbali kwa juma hili hii ilikuwa bora zaidi na kwa kuwa mi ndo nilikuwa mtu wa kwanza kuipokea sina shaka nimeweza kuitendea haki kwa kuitambulisha wa kwanza,big up BBL kwa kazi nzuri bro.

Anonymous said...

aisee ni boooooooooooonge la ngomaaaaaa huyu jamaaa atatoka TMK akiyamungu tena coz najua mziki wa bongo atakuwa anabanwa tu pale bora ajitegemee

Anonymous said...

Obtain and select some good points from you and it helps me to solve a problem, thanks.

- Henry