22.11.13

Wednesday, September 15, 2010

WIMBO MPYA ULIOTUFIKIA KUTOKA HOTPOT FAMILY.

Mambo vipi waungwana? Nachukua fursa hii kushukuru kwa support mnayonipa mimi na ndugu zangu wote wa Hotpot Family. Nadhani mlikuwa hamjui kuwa Hotpot Family ni kundi ambalo linajumuisha wasanii wa kila fani lakini kwenye muziki tunaofanya tuko kumi akiwemo Suma-G, Dulayo, Chriss, Baby, Nico, Chorus, Chid Blast, Dogo Mfaume, Salim na mimi Soggy

Tumeamua kufanya project ya kundi zima kwa mara ya kwanza na wimbo huu tumerekodi chini ya producer Muba na tumeona tuwaachie madogo waonyeshe uwezo wao ila mimi na Suma tumeimba chorus tu...
Wimbo unaitwa UNA MIPANGO? Tukiimanisha una Deal? Au una Pesa?

USIKILIZE WIMBO HUU HALAFU UNIPE MAONI YAKO KAMA JAMAA WAMEFANYA POA.

3 comments:

Anonymous said...

Bonge la dude kiukweli,Soggy na wewe tupe ngoma mpya.We miss U
Jane-Upanga

Anonymous said...

kaka wimbo umetulia jamaa wamefanya poa sana.hii inaonyesha sanaa ya bongo upande wa music inakua.big up hotpot family

Anonymous said...

pini ni nouma..