22.11.13

Thursday, September 30, 2010

WUD UP PEOPLE..

Guys naweza sema nimebarikiwa sana mimi..yes i admit that !!
i have a lot of  fans out there, the beautiful fans out there... and wana show Luv na mimi kila wakati Joo..
sina mambo mengi ya kusema zaidi ya asante sana na nashukuru sana, was on my twitter page na nika end up spreading  luv to u guys but honestly ...thanks !!
i mean it, 
thanks a lot guys ..
Mungu awabariki and thanks kwa kuipokea THE BIGGEST SEASON Vizuri !!
trust me am doing it for my People..
All i can say is...
 
Being a Diva, sister, businesswoman, can be challenging at times, especially when it comes to juggling my personal time vs. my work life.
As a passionate Diva sometimes my work schedule runs 24/7 which leaves me no time to spend with my family when am at work.
but we have to realize that getting our priorities clear is the most essential step towards achieving a well balanced life. You have to figure out what is most important to you and not what you think they should be. I always say family first, work & fun will intertwine when you love what you do..
So lets Goooo people ..... as i told ya The Biggest Season is here and the SWAGGER CONTINU !!
stick on Clouds FM  ALA ZA ROHO coz Diva Is Back ya..
U Heard ... luv u guys ..

3 comments:

Anonymous said...

oyoo weee subiria wabeba mabokxi waaamke.huyu kinyago haishii mavitukoz yaani cjuii tahira vile mpelekeni mirembe mlavumbi huyo

Anonymous said...

wewe choka u'r just an asshole aisee,huyu demu wa nini sasa,tutaanza kuku diss na wewe,demu anajifagilia halafu sio kivile wala nini au hayo macho yake ya kununu ndio yanakupagawisha?we fala vile vile

Anonymous said...

Choka,
I think you are a wise man who knows how to deal with issues, ninaomba ukae na haka katoto ukaambie Dunia haishii Clouds fm, na hayo maisha anayoishi kuna zaidi ya hapo. kuna watu wanaishi masiha ya ajabu choka and they don't even boast around. mpaka sasahivi anasifa mbaya sana huyu dada naomba umuite umsaidie ili aje kuwa raia mwenye akili nzuri na wa kutegemea na taifa hili.