22.11.13

Saturday, September 11, 2010

YALIYOJIRI JANA KWENYE UZINDUZI WA ALBAM YA TIP TOP

Deso

Jana usiku vijana kutoka Tip Top Connection walizindua album yao inayoitwa Bado Tunapanda, uzinduzi ulikwenda vizuri sana na wasanii walioisindikiza show hiyo walifanya vizuri sana wakiwemo Lina, Yung D, Godzilla, Jafaray, Roma na Mwasiti.

No comments: