22.11.13

Sunday, September 12, 2010

YALIYOJIRI KWENYE PARTY YA MWANADADA WITNESZ

DJ Fam akiwa na wife wake, mimi na yeye Fam ndio tuliokuwa tukiwarusha mashabiki wa Witnesz
Muda mfupi uliopita nilikuwa kwenye party ya Witnesz ya kuwashukuru mashabiki wake na kuwaomba wampigie kura tena kwa awamu hii ya sasa aliyoingia tena. Anasema kwa kuwa mwaka ule aliochukuwa tunzo hakufanya chochote so ameona hii ndio iwe nafasi yake ya kuzungumza na mashabiki zake pamoja na wadau wake

Yule Mbuzi sasa pale kati kama namuona vile

Picha zilikuwa nyingi sana nimeona nichagua hizi angalau mpate picha kamili.

No comments: