22.11.13

Thursday, March 31, 2011

MAPENZI MAPENZI "JAY MOE"

Msanii anayeiwakilisha kundi la Wateule Juma Mchopanga aka Jay Moe anatarajia kudondosha single ya wimbo wake mpya inayokwenda kwa jina la MAPENZI MAPENZI. 
Moe amesema wimbo huo amemshirikisha mwanadada mkongwe katika game hili la bongo fleva Judith Wambura aka Lady Jay Dee. Wimbo huo umetengenezwa pale Tongwe Rec na amewaomba mashabiki kwa ukimya wake kwani alikuwa na ziara mikoani na nchini South Africa.

No comments: