22.11.13

Thursday, March 31, 2011

UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA COUNTRY BOY IMEISHA LEO.

Jioni hii msanii Country Boy alikuwa anamalizia video yake, location ilikuwa Budda Blue iliyopo nyuma ya hosp ya Kairuki Mikocheni. 
Jumapili hii inayokuja tutakuwa tunashuti na msanii mwingine, kaa tayari kumjua msanii huyo.

Anaitwa Slim kutoka KIUMBE VIDEO, huyu ndio shuta mwenyewe katika video zote zinazotoka Kiumbe.

Country Boy akiwa na meneja wake Meddy Prince Ent.

1 comment:

Anonymous said...

Aaaah hata wabongo mnavuta mashisha lakini si ajabu ikiwa bangi watu wanavuta washindwe vitu kama hivi..!!??