Muda huu wakati narudi nyumbani nikaamua kupira njia ya chini yaani nyuma ya jengo la Airtel Moroco ili kukwepa foleni, lakini kumbe sio kama nilivyotarajia maana foleni niliyokutana nayo kumbe imezuiwa coz ya kichapo cha mwizi huyu ambaye sikuweza jua ameiba kitu gani.
Kama anavyoonkana hapo chini ya gari akijaribu kuwakimbia wananchi wenye hasira kali lakini wapi jamaa alikuwa akilia huku akila dozi.
Hatimaye gari moja ilifunguliwa na mwii huyu kudumbukizwa kwenye buti na wakamfungia humo humo ili asiendelee kula kichapo na gari hilo kutoweka nae. Sasa sijui aliyemchukuwa alikuwa ni nani?
No comments:
Post a Comment