22.11.13

Tuesday, September 27, 2011

New track: 20% "SI MFANO"

Kutoka kwenye album yake ya YANINI MALUMBANO, 20% ameachia ngoma nyingine yenye mahadhi ya Reggae na ujumbe mzito kwa jamii yetu ya kitanzania. Ngoma yaitwa SI MFANO ilifanyika Combination Sound.Thanx sana kwa Company....

Listen and download for promo ONLY

1 comment:

Anonymous said...

kaka unajua sana hamna msanii kama wewe kwa hapo bongo unafudisha u´naburudisha hii ndo fasihi