22.11.13

Tuesday, September 27, 2011

SINA MATARAJIO YAKUTOA VIDEO YA KUKU MARINGO "MARU"

Msanii Maru ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa KUKU MARINGO ameongea na BSL na kusema hana matarajio ya kutoa video ya wimbo huo kutokana na aliowashirikisha katika wimbo huo kutokuwa na umoja, namzungumzia AT na Lil Getto kutoka Offside Trick. Maru amesema wimbo ulipotoka alipowaambia kuhusu swala la video hakuna hata mmoja aliyeonekana kutoka uhakika wa kuwepo katika video hiyo so inamlazimu msanii huyu aendelee kuipa promo audio ya wimbo huu wa Kuku Maringo.

Huu ndio wimbo wenyewe wa Kuku Maringo, mduara safi kabisa unaweza ukausikiliza.

No comments: