22.11.13

Friday, October 21, 2011

AFANDE SELE AZUNGUMZA JINSI ILIVYO MGUSA KIFO CHA GHADAFFI

Ok'bcoz Kanal Muam'mar Al Ghadaffi is ended, it means the dream of African country to be unite also is over. R.I.P bro Ghadafi but for real Africa like me & my family including ma sista in law B'Tamu and my Young bro 20% Ur dying as the WITNESS!..
TIME WILL TELL THE LIBYAN PEOPLE, AFRICAN & THE WORLD "Mr Ghadaff is INNOCENT" in front of GOD & World
Afande Sele.

Kanal Muam'mar Al Ghadaffi

1 comment:

Anonymous said...

Afande Sele usitetee usichofahamu vizuri kwa kufuata siasa za uswahilini. Gadafi alikuwa punguani lakini kumuuwa wamekosea. Wangemkamata wampeleke mahakamani. Utajiri aliojilimbikizia unafikia
kati ya $ 80 - $128 Billion. Huu ni utajiri wake binafsi si wa nchi. Bajeti ya Tanzania ni $ 8 billion. Kwa hiyo angeweza kutuendesha kwa miaka 10 kwa hela yake! Idadi ya watu wa Libya ni millioni 6. Kwa hizo hela zake angeweza kujengea kila familia ya Libya nyumba bora, gari bora na akabaki na hela nyingi tu. Kama angefawafanyia walibya yaha wangemuuwa? Hapana.Matokeo yake miaka nenda rudi kang'ang'ania madaraka yeye tu, hakuna uchaguzi na ukipinga anakuuwa. Ndio maana namuita punguani. Wazo la Africa Unite vile vile ni la kipunguani sababu alitaka yeye ndio awer Rais. Ungemwambia tuungane na rais awe mwingine angekwambia HAPANA.Afrika haiwezi kuungana kuwa nchi moja kutokana na sababu za kihistoria. Kinachowezekana ni muunganO wa kiuchumi kama Jumuiya ya Afrika Mashariki. Somemi kwanza kabla ya kuanzisha hoja badala ya kufuata maneno ya Uswahilini.