22.11.13

Monday, October 24, 2011

Coming Soon-Belle 9 ft Cannibal(A John Blass Exclusive)

Ni ujio mpya kabisa wa Belle9 akiwa kitofauti zaidi raundi hii akiwa amemshirikisha msanii Cannibal kutoka Kenya,,,kazi hii ipo katika hatua za umaliziaji,,,''ni mixing tu namalizia ten taratibu nyingine zitafuata,shikrani sana kwa Belle,Cannibal na Provoke music,its been an honour working with all of you'', wimbo unaitwa zaidi ya star,umefanyiwa production na John Blass(John B) wa grandmaster Arusha,,ambaye kwasasa muda mwingi zaidi yupo Jijini Nairobi Kenya,,pamojah sana

No comments: