22.11.13

Wednesday, October 26, 2011

Coming Soon - Stopper ft Q the Don

Baada ya kimya kingi,,,msanii wa hiphop toka Arrachugga Stopper The Rhymecaa arudi tena,,safari hii akiwa amemshirikisha Q the Don,''Nipo katika hatua za mwisho za kukamilisha video ya ngoma hii,nafurahi sana kwani nimekuta pia na Director wangu Dennis Mallya ndo alikua amemaliza kujipanga upya kabisa kwahiyo watu wangu wakae tu mkao wa kula kwani sijawaangusha'' alisema Stopper,audio ya kazi hii imetengenezwa ndani ya Studio za Mo Records-Mwanza na kideo ni toka Grandmaster Records-Arusha

No comments: