22.11.13

Monday, October 17, 2011

DJ CHOKA Presents SAJU, GOZBY, K-STYLE, FRED & MUCKY "Bongo Star Link"

Kati ya vitu ambavyo navijaribu kuvifanya ni moja wako hii track ambayo sio track yakupiga radioni bali ni kama ya wadau wote wa BONGO STAR LINK. Hii ni yakwenu ndugu zangu, kaeni mkao wa kula kwa kazi zingine kama Official kwaajili ya radio na video pia, mungu aendelee kutupa uzima tu. Kazi hii nimeifanya pale Mbezi Beach AUTHENTIC STUDIOS chini ya mtu mzima Producer Max.


 K-Style, Saju &  Gosby

No comments: