22.11.13

Tuesday, October 11, 2011

HABARI ZILIZOTUFIKIA: Msanii LINEX amefiwa na BABU yake mlezi.

Msanii wa bongo fleva anayejulikana kwa jina la Linex amenipa taarifa mda huu ya kwamba amefiwa na babu yake ambaye alikuwa anamlea toka akiwa mdogo. Linex amesema babu yake alikuwa anajulikana kwa jina la Barnabas Buyala na amefariki kama dakika 15 zilizopita katika hospital ya Maweni Kigoma.

No comments: