22.11.13

Tuesday, October 25, 2011

KICHWA KIPYA NDANI YA BONGO FLEVA HIKI HAPA NAMTAMBULISHA KWENU "CHID BAY"

Anajulikana kwa jina la Rashid Daudi aka Chid Bay, alizaliwa miaka 22 iliyopita na mungu akampa kipaji cha Music Composer & Producer, pia ni Song Writter na hizi nikati ya nyimbo zake ambazo zitakuja kupatikana kwenye album yake.

SHARE THIS...

No comments: