22.11.13

Monday, October 24, 2011

THE MAKING OF KICHWA KINAUMA "TMK FAMILY"

TMK Family wanarudi wakiwa wasanii wote katika video moja na wimbo wao mpya uliopewa jina la KICHWA KINAUMA. Wasanii ambao watasikika sauti zao ni pamoja na Temba, Chege, Stiko, Kichwa Zozo na Dogo Aslay. Video imesimamiwa na Adam Juma kutoka Visual Lab Next level

No comments: