22.11.13

Monday, October 31, 2011

MTAANI KWETU TUMEMKAMATA MWIZI.

Mtaani kwetu huku sinza kwa Remmy kuna kadokozi maana alichokiiba ni Suruali ya Jeans na Tshet moja zilikuwa zimeanikwa nje. Ki mwonekano ni mdogo sana lakini bili kuokolewa na wazazi wa mtaa na kuingizwa kwenye hilo banda na fundi mbao hapo angekoma.

No comments: