22.11.13

Thursday, October 27, 2011

NEW SONG; MON G feat. Dullayo - "UKO WAPI"

MON G; Mara ya kwanza nilitoa ngoma iliyoitwa DAMU YANGU, na ya pili MTOTO WA DAR,
sasaivi nimekuja na RnB, style ambayo nahisi wadau wengi wameimiss. Ukiwa kama mdau naomba support yako kwa maana bila wewe muziki hauwezi songa.
Song; UKO WAPI/WAPI ULIPO
Artist; MON-G feat. DULLAYO
Studio; Burn Records
Producer; SHEDDY CLEVER
  
Click here kwa kusikiliza wimbo huu: MON G feat. Dullayo - UKO WAPI

No comments: