22.11.13

Thursday, October 27, 2011

NEW TRACK: Frank Memori ft, Narx "IMEGUNDULIKA"

Frank memori msanii chipukizi toka pande za mbeya mwenye maskani pande za arachuga kwa sasa,anakuja na ngoma yake ya kwanza aloipa jina "imegundulika" na humu ndani ameimba na mwanadafada Narx,ngoma hii nimerecodi noizmekah studios arusha, mashabiki mnipokee!!   

No comments: