22.11.13

Wednesday, October 19, 2011

NEW TRACK: Yoram - Siwezi

Jamaa Anaitwa Yoram, Zamani Alikuwa Akifanya Game ya Mziki lakini akajikita katika Masuala ya Utangazaji na Sasa ameamua Kuandeleza Kipaji Chake. Ametumia Style kama Ya Mrisho Mpoto na tayari Umeanza Kusumbua katika Radio Mbalimbali. 
Wimbo Unaitwa SIWEZI umetengenezwa Jupita Records Zanzibar, Producer Anaitwa Alonem na Aliyeshirikishwa Anaitwa Sultan King kwa Mara ya Kwanza Umeachiwa Tarehe 9 october 2011.

Download here and listen for promo ONLY

No comments: