22.11.13

Monday, October 03, 2011

POMBE KWA SASA BASI TENA "DUDUBAYA"

Msanii Dudubaya anayewakilisha mkoa wa Mwanza amenisukumia msg ambayo alikuwa anataka iwafikie mashabi wake pamoja na wadau wote. Namnukuu

"Kuanzia leo tarehe 3th Oct 2011 nimeacha kunywa POMBE. Nilianza kunywa pombe tangu mwaka 1999 nikiwa Morogoro Hotel, nilianza kutumia Safari Lager, baadae nikawa natumia Castle Lager, nikawa na KITAMBI. Mwaka 2005 nilianza kutumia Konyagi ili nipungue, mpaka sasa uamuzi huu ni wangu mwenyewe na sio nimeshauriwa na mtu."

No comments: