22.11.13

Monday, October 17, 2011

R.I.P DICKSON SEKWAO

 Rest in peace bro, daaaah kweli dunia mapito, sitosahau ucheshi wako nilivyokuwa South Africa, ingawa mda ulikuwa mdogo lakini ulinifundisha mengi na ujanja mwingi nikiwa naenda South. Nenda tu bro kapumzike sisi tunakuja...

 Enzi za uhai wake Dickson wa pili kutoka kulia, wakati nilipokuwa South Africa kwenye tour ya Wateule ndio nilitambulishwa na washkaji na tukawaa marafiki kwa mda wote niliokuwa South, sema ndio hivyo hatuwezi kumlaumu mungu nimebakia na kumbukumbu za picha zako bro.

No comments: