22.11.13

Friday, October 21, 2011

STUDIO MPYA IMEFUNGULIWA PANDE ZA SINZA MORI.

Wasanii  wa Bongo Flava studio mpya imefunguliwa pande za Sinza Mori karibia kabisa na Hotel ya Wanyama, studio hii ina miezi minne sasa na inajulikana kwa jina la HEBRON STUDIO. Wasanii wachanga na hata wale wakongwe sio mbaya mkipata nafasi mkapita kuperuzi peruzi kama yaliyomo yamo ili siku ziendelee.