22.11.13

Saturday, October 22, 2011

TAARIFA ILIYONIFIKIA PUNDE

Taarifa niliyoipata sasa hivi ni kwamba mwili wa marehemu Dickson Sekwao uliozuiliwa airport ya Dar kwa kuhisiwa una madawa sasa umeruhusiwa na umehihaziwa katika hosp ya Mwimbili. Kutokana na hali mbaya ya marehemu kuharibika ndugu wameona azikwe Dar kesho na kufuta safari ya kwenda Dodoma kwa maziko

No comments: