22.11.13

Friday, October 21, 2011

TISHET ZA DULLAYO ZIMETOKA UNAWEZA KUJIPATIA YA KWAKO

Tishet za msanii Dullayo anayetamba na wimbo wake wa MIDA YA KAZI zimetoka na ukiwa kama mshabiki wa Dullayo namba moja unaweza kujipatia tishet hiyo kwa kupiga namba hii +255 685 404078 

 basi na mimi nikajichukulia nzigo wangu

Casto Dickson hakuwa nyuma kujibebea rangi anayoipenda

No comments: