22.11.13

Tuesday, October 25, 2011

Tunawatambulisha kwenu Website ya Xtra Design wataalam wa Kutengeneza Classic Blogs

Habari za leo wadau, poleni na majukumu ya kila siku ya kujenga Taifa letu.
Tunapenda kuchukua nafasi hii kuitambulisha kwenu web site yetu (http://www.xtradesign2.tk/) iliyojikita katika kutengeneza blogs katika kiwango cha juu (classic blogs) na kwa bei nafuu pia. Lengo letu ni kuendeleza ujasiliamali katika nyanja hii ya teknolojia.Asanteni na Karibuni sana.
kututembelea tafadhali bofya hapa  http://www.xtradesign2.tk/

No comments: