22.11.13

Thursday, October 13, 2011

Wimbo wa G.M.F - NYEUSI Umetolewa kimakosa "Nikki Wa Pili"

Wimbo ambao ulitolewa na studio ya Watengwa iliyopo kule Arusha unaoitwa G.M.F. - Nyeusi nimeambiwa na Nikki wa Pili kwamba umetolewa kimakosa na ulikuwa hautakiwi kutoka na wala hauitwi kwa jina hilo. Nikki na G-Nako ambao walikuwa kwenye wimbo huo wamewaomba watu ambao wanao wimbo huo kuanzia blog, radio, na watu wa club kutoucheza wimbo huo mpaka utakaporuhusiwa rasmi.

Samahani sana kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.Mimi Daz naledge
producer wa nyimbo ya G.M.F-NYEUSI iliotengenezwa na Daz Naledge na
kuwekewa mashairi na Nikki wa pili pamoja na G-Nako..Ninawaomba
msiicheze nyimbo hii kwenye vipindi vya radio. Hii imetokana na sababu
za promo ya nyimbo hiii na muda wake wa kutoka.G.M.F ina mpango wa
kutoa nyimbo nyingine ya Niki wa pili na G-nako inayoitwa commercial
ambayo wamemaliza kufanya video yake na kampuni ya Hoodpixx.. hivyo
sasa italeta usumbufu kama track zote hizi zitakua hewani..Narudia
tena kuwaomba radhi kwa yote yaliojitokeza.
Asanteni sana

No comments: