22.11.13

Tuesday, November 22, 2011

AJALI MAENEO YA RUVU

Leo wakati natoka Arusha nimeshuhudia ajali mbili, moja imetokea maeneo ya daraja la WAMI lori la kubeba mkaa likaacha njia na kutumbukia kule chini ya maji yenye Mamba wengi. Tukiendelea na safari nikasikia magari aina ya lori yamegongana uso kwa uso na kuziba njia kwa masaa mengi, hadi sisi tunafika eneoo hili tulikutana na foleni kubwa na hatimaye tukapita mdogo mdogo.

No comments: