22.11.13

Thursday, November 03, 2011

Mbantu na ngoma yake ya Usikariri

Mbantu,artist anaetokea pande za hedaru same anakuja na ngoma yake mpya inayoitwa "usikariri" alorekodia noizmekah,msanii huy anawakilisha sanaa ya kughani,yaani hiphop toka kijiji cha kirangare mpaka duniani kote,anasema"sio kila mzee ana busara zaidi ya vijana, wao viana wenye busara zaidi ya wazee kwahivyo mimi mbantu kutimba noizmekah studios na kuwaasa watu wasikariri maisha ni busara kuliko mzee anayeingia mtaani na kusambaza uongo na busara batili,mashabiki zangu kote nawapenda,naitaji sapoti yenu sana,asante...


No comments: