22.11.13

Thursday, November 24, 2011

NEW TRACK: Diamond "MAWAZO"

Huu ni wimbo mpya wa msanii Diamond Platnumz unaoitwa MAWAZO ulitengezwa katika studio ya AM Rec. Kesho Ijumaa Diamond atakwenda Malindi Kenya kwenye tuzo za NZUMARI so anawaomba mashabiki waendelee kumuombea ili arudi na tuzo hiyo.

2 comments:

Anonymous said...

mi love this dude jamani yani ngoma imetulia kinyaama hope video ataitendea haki

Anonymous said...

Wimbo umetulia mno.