22.11.13

Wednesday, November 02, 2011

NEW WEBSITE: Millard Ayo

Mtangazaji Millard Ayo kutoka Clouds FM aliyejizolea umaarufu kupitia kipindi chake cha Amplifaya kinachorusha kila siku jumatatu hadi ijumaa saa moja usiku hadi saa tatu usiku, amefungua site yake ambayo itakuwa inazungumzia mambo yake na habari zake ambazo utakuwa ukizipata kwenye site yake kama utakuwa ulimiss kusikiliza Amplifaya.
Ingia hapa kupata habari za kijanja zaidi na Millard Ayo (Eyooooooo)

No comments: