22.11.13

Sunday, December 11, 2011

AGI COX from UGANDA

Agie cox ni mwanamuziki toka UGANDA ambae hv karibuni ameachia kibao kinachoitwa JEALOUSY ikiwa kamshirikisha Bucha man,,anapenda kuwaambia wasanii wa kitanzania waungane na wenzao wa Uganda,Kenya,Rwanda na Burundi ili kuweza kupeana suport kwa urahisi,,anasema muziki wa kitanzania haufiki nchini Uganda kwa urahisi na hii yote inatokana na kutofuatilia kile wanachokifanya,,Hivi karibuni Agie cox amefanya nyimbo na mwanamuziki toka Tanzania anaejulikana kwa jina la VUMBE jina la nyimbo hiyo ni NEGOMBA/NATAMANI

No comments: